Maombi ya Mtumiaji

Maelezo ya sera

BADILISHA KUMBUKUMBU
Utaratibu wa Sera
Meta hujibu maombi ya kuondoa akaunti kwa mujibu wa sheria zinazotumika na masharti yetu ya huduma. Kila ombi tunalopokea hukaguliwa kwa makini na tunaweza kukataa au kuomba maelezo zaidi kwa maombi fulani.
Tunatii maombi ya uondoaji wa:
  • Akaunti inapoombwa na mmiliki wa akaunti
  • Akaunti za mtu asiye na uwezo zinapoombwa na mwakilishi aliyeidhinishwa na Uthibitisho wa Mamlaka na hati za matibabu zinazothibitisha kutokuwa na uwezo.
Hali ya matumizi ya mtumiaji
Tazama mifano kadhaa ya jinsi utekelezaji unavyoonekana kwa watu kwenye Facebook, kama vile: inavyoonekana kuripoti kitu ambacho unafikiri hakipaswi kuwa kwenye Facebook, kuambiwa kuwa umekiuka Viwango vyetu vya Jumuiya na kuona skrini ya onyo juu ya maudhui fulani.
Dokezo: Tunaendelea kuboresha, kwa hivyo kile unachokiona hapa kinaweza kupitwa na wakati kiasi ikilinganishwa na kile tunachotumia sasa.
HALI YA MATUMIZI YA MTUMIAJI
Kuripoti
HALI YA MATUMIZI YA MTUMIAJI
Mawasiliano ya baada ya ripoti
HALI YA MATUMIZI YA MTUMIAJI
Hali ya kuondoa
HALI YA MATUMIZI YA MTUMIAJI
Skrini za onyo
Utekelezaji
Tuna sera sawa ulimwenguni kote, kwa ajili ya kila mtu kwenye Facebook.
Timu za ukaguzi
Timu yetu ya kimataifa ya wakaguzi zaidi ya 15,000 hufanya kazi kila siku kuweka watu kwenye Facebook kuwa salama.
Ushiriki wa mshikadau
Wataalamu wa nje, wasomi, mashirika yasiyo ya faida na watungaji sera husaidia kuweka Viwango vya Jumuiya ya Facebook.
Pata usaidizi wa maombi ya mtumiaji
Jifunze unachoweza kufanya ukiona kitu kwenye Facebook ambacho kinakiuka Viwango vyetu vya Jumuiya.
Tembelea Kituo chetu cha Usaidizi