Matendo ya Kibiashara Yaliyopigwa Marufuku

Maelezo ya sera

BADILISHA KUMBUKUMBU
Mtazamo wa sera
Tunalenga kulinda watumiaji na biashara dhidi ya kudanganywa ili kuhadaiwa pesa, mali au maelezo yao ya kibinafsi. Ili kufanya hivyo, tunapiga marufuku maudhui na tabia zinazotumia matendo ya kibiashara yaliyopigwa. Hii inajumuisha ofa za kazi zisizo za kweli au za mpango wa serikali, watu mashuhuri na ushawishi wa chapa, mifumo ya uwekezaji (ikiwa ni pamoja na mapato yaliyohakikishwa), mifumo ya kusamehewa deni na mkopo, mifumo ya kutajirika haraka na zawadi, mifumo ya mahaba na mifumo ya hisani.
Tunawaruhusu watu kutoa uhamasisho, kuwaelimisha wengine na kukashifu ulaghai na vitendo vingine vya kibiashara vilivyopigwa marufuku, mradi hawafichui taarifa nyeti au kuvitangaza.
Kwa sera zinazohusiana na Nyaraka na Huduma za Kifedha Zisizokubalika, tazama Viwango vya Jumuiya kuhusu Bidhaa na Huduma Zinazozuiwa.
Utekelezaji wetu si mpya kabisa, na huenda tusitambue matukio yote ya ukiukaji wa sera. Ili kupata maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kugundua maudhui ya udanganyifu na unachoweza kufanya ili kusaidia kujilinda, tembelea Kituo chetu cha Ulinzi wa Ulaghai.
Utekelezaji
Tunaweza kuchukua hatua mbalimbali za utekelezaji, ikiwa ni pamoja na lakini si tu kuondoa maudhui na matangazo, kupunguza usambazaji, kuweka vizuizi kwa akaunti za utangazaji, kuweka kikomo kwenye vipengele, kuhitaji uthibitishaji au kulemaza akaunti. Vitendo hivi vinaweza kutokana na ugunduzi wetu binafsi, au kutokana na ripoti kutoka kwa mashirika yanayoaminika na maoni ya watumiaji (kama ilivyofafanuliwa hapa chini).
Maoni ya Mtumiaji
Maoni ya mtumiaji hutusaidia kutambua matendo ya kibiashara ambayo huunda hali mbaya ya matumizi ya mtumiaji. Tunazingatia ishara kama vile mitindo thabiti au viwango visivyolingana vya maoni hasi, na tunashiriki maoni muhimu na watangazaji na wauzaji ili waweze kuboresha maudhui yao na kuridhika kwa wateja. Maoni hasi yakidumu licha ya tahadhari, tunaweza kuchukua hatua zilizo hapo juu, hadi kuzuia au kulemaza akaunti au vitengo vinavyowajibika. Hii inajumuisha kuchukua hatua za utekelezaji kwa mazoea kama vile:
  • Uwekaji bei unaopotosha au usio na maana.
  • Kutowasilisha: kukosa kuwasilisha bidhaa au huduma zilizonunuliwa baada ya malipo kufanywa.
  • Kuwasilisha bidhaa visivyo: kutangaza bidhaa au huduma ambazo zinatofautiana sana na kile kilichotangazwa, ikiwa ni pamoja na tofauti kubwa katika ubora au bidhaa zisizo sahihi.
  • Gharama zisizoidhinishwa: kutoza njia ya malipo ya mteja bila idhini ya mapema au ufichuzi wazi.
  • Ukiukaji wa sera za kurejesha bidhaa au fidia: kukosa kutekeleza sera zilizotajwa za kurejesha pesa au kurejesha bidhaa.
  • Matendo ya udanganyifu ya usajili: kuandikisha wateja kwenye mipango ya malipo yanayojirudia au huduma za usajili bila ufichuzi ulio wazi wa masharti.
  • Viungo vinavyoonekana kuongoza kwenye tovuti halali za kibiashara lakini badala yake vinaongoza kwenye tovuti za ulaghai.
Haturuhusu:
Maudhui yanayotumia mbinu za udanganyifu kuwapotosha watu au biashara kwa manufaa ya kibiashara au kifedha, ikiwa ni pamoja na, lakini si tu:
Maudhui ya Mkopo Yaliyopigwa Marufuku
Haya ni pamoja na:
  • Ofa za mikopo inayomtaka mtumiaji kulipa ada za mapema ili kupata mkopo.
  • Ofa za mikopo zinazohakikisha uidhinishaji bila kutaja vigezo vya kawaida vya uidhinishaji, kama vile taarifa za kifedha kutoka kwa mkopaji.
Maudhui ya Kamari Yaliyopigwa Marufuku
Haya ni pamoja na:
  • Ofa za huduma za kamari za pesa halisi (“Pesa halisi” ni sarafu halisi ambayo inaweza kutumiwa kununua bidhaa au huduma katika ulimwengu halisi, ikiwa ni pamoja na sarafu za kitaifa kama vile Marekani. Dola na sarafu pepe kama vile Bitcoin):
    • kwa kupewa hakikisho la kushinda.
    • kukisia au kukubali kubadilisha matokeo ya mchezo au mechi
    • kuombaomba watu kuwezesha upangaji mapema wa matokeo ya mechi au kutafuta usaidizi au vidokezo kuhusu jinsi ya kupanga mapema matokeo ya mechi au mchezo
    • kutangaza huduma za kamari kwa njia za udanganyifu au zisizoeleweka (kama vile maandishi yasiyohusiana na picha au video ya tangazo la kamari)
  • Ofa zinazotangaza huduma kutoka kwa wachuuzi wa kamari wanaojulikana kuwa wa udanganyifu.
Michezo ya kasino ya kijamii inayoiga michezo ya kamari bila fursa ya kushinda pesa halisi inapatikana chini ya Viwango vya Jumuiya vya Huduma na Bidhaa ZIlizozuiwa.
Maudhui ya Uwekezaji Yaliyopigwa Marufuku
Haya ni pamoja na:
  • Ofa za fursa za uwekezaji ambapo mapato ya uwekezaji yanahakikishwa au hayana hatari.
  • Ofa za fursa za uwekezaji ambapo mapato ya uwekezaji au fidia inatokana kikamilifu au kwa sehemu uwezo wa kuwaleta watu wengine kwenye mpango.
  • Ofa za fursa za uwekezaji zinazodai au kurejelea utendaji au mapato ya awali ambayo yamefaulu ili kuunda matarajio ya matokeo sawa ya baadaye.
  • Ofa za fursa za uwekezaji zinazodai mapato ya haraka (kama vile chini ya saa 24).
  • Yanayotoa fursa ya kugeuza kiasi fulani cha pesa kuwa kikubwa zaidi kupitia kupindua au njama au mbinu inayohusisha kutaja moja kwa moja ”kupindua pesa taslimu,” "kupindua pesa,” au istilahi sawa na hizo.
Maudhui ya Hisani Yaliyopigwa Marufuku
Haya ni pamoja na:
  • Maombi ya kuhadaa ya pesa au michango kwa ajili ya shughuli za hisani.
Maudhui ya Mahaba Yaliyopigwa Marufuku
Haya ni pamoja na:
  • Majaribio ya kutaka mahusiano ya kimahaba mtandaoni kwa kutafuta wenzi au mahusiano yasiyo ya kingono na kutoa au kuomba pesa au manufaa sawa badala yake.
Maudhui ya Chapa au Watu Mashuhuri ambao Wamepigwa Marufuku
Haya ni pamoja na:
  • Ulaghai wa chambo za chapa, unaohusisha madai ya uwongo ya kuwakilisha, kuzungumza kwa niaba ya, biashara au shirika lililopo, pamoja na mbinu za kupotosha za kuwashawishi watu kujihusisha na maudhui katika jaribio la kulaghai au kuhadaa.
  • Ulaghai unaohusisha watu mashuhuri, ambao unajumuisha kutumia jina, mfanano au picha za mtu mashuhuri kwa uwongo, pamoja na mbinu za kupotosha kuwahadaa watu kujihusisha na maudhui katika jaribio la kulaghai au kuhadaa.
Maudhui ya Kupata Utajiri Haraka Yaliyopigwa Marufuku
Haya ni pamoja na:
  • Ofa za fursa za tuzo za kifedha zisizo halisi kwa juhudi zisizo wazi au ndogo.
Maudhui ya Kugusika, Kiroho au Illuminati Yaliyopigwa Marufuku
Haya ni pamoja na:
  • Yanatoa tuzo zinazogusika, kama vile pesa, bidhaa au huduma zilizo na thamani ya pesa ikiwa ni pamoja na sarafu halisi, dijitali au pepe, na bidhaa na huduma halisi au za dijitali kwa ajili ya uwanachama au kujiunga na shirikisho, itikadi, jumuiya ya kidini (kwa mfano, udugu wa Illuminati).
  • Yanatoa tuzo zinazogusika za kutumia mazingaombwe au uchawi au bidhaa za mazingaombwe (kwa mfano, hirizi, hirizi za bahari, amuleti, tokeni, hirizi za mapenzi, pochi ya mazingaombwe, n.k.).
Maudhui ya Bima Yaliyopigwa Marufuku
Haya ni pamoja na:
  • Ofa za bima ya uwongo yenye mapunguzo ya bei yasiyowezekana kwa kutoa maombi ya ada za kulipwa mapema, kama vile ada za usimamizi au amana.
  • Ofa za bima ya uwongo yenye mapunguzo ya bei yasiyowezekana kwa ahadi ya kuokoa kiasi kikubwa kutokana na bima ilikinganaishwa na watoa huduma wa kawaida wa bima.
Maudhui ya Kazi Yaliyopigwa Marufuku
Haya ni pamoja na:
  • Ofa za kazi ambazo hazina maelezo kuhusu mwajiri na maelezo ya kazi, zinazorejelea tu fursa za kazi.
  • Yanatoa fursa za kufanyia kazi nyumba lakini hadhi ya kazi inakisia kuwa mwajiriwa hawezi Kufanyia Kazi Nyumbani.
  • Ofa za kazi zenye ahadi za mapema za mshahara.
  • Ofa za hakikisho la kupata kazi.
  • Ofa za fursa za kazi na kutaka ada za mapema kulipwa kabla ya kupewa kazi.
Maudhui Yanayokataza Msaada wa Deni na Urekebishaji wa Mkopo
Haya ni pamoja na:
  • Yanaahidi kuondoa au kupunguza deni kwa kiasi mahususi ndani ya kipindi fulani cha wakati.
  • Yanaahidi kukamisha ukusanyaji wa madeni au mashtaka.
  • Yanaahidi kuondoa taarifa za mikopo kutoka kwenye ripoti za mikopo au kuunda "utambulisho mpya wa mikopo."
Maudhui ya Tunu Yaliyopigwa Marufuku
Haya ni pamoja na:
  • Ofa za uwongo za tuzo inayohakikishiwa ya pesa halisi au bidhaa za watumiaji (kama vile vifaa vya kielektroniki, magari au vito) bila watumiaji kuhitajika kuchukua hatua yoyote zaidi ya kushiriki maelezo ya kibinafsi au kifedha.
  • Ofa za uwongo za pesa kutoka kwa misaada au mipango ya serikali.
Maudhui ya Ada ya Mapema Iliyopigwa Marufuku
Haya ni pamoja na:
  • Yanatoa ahadi za uwongo za pesa ili kupata ada/uhamisho wa waya/malipo ya mapema.
Licha ya yaliyotajwa hapo juu, hatupigi marufuku maudhui yanayokashifu, kutoa uhamasisho au kuwaelimisha wengine kuhusu ulaghai au vitendo vingine vya kibiashara vilivyopigwa marufuku, bila ama kufichua taarifa nyeti au kuvitangaza.
Kando na kuondoa akaunti zinazokiuka sera yetu ya Matendo ya Kibiashara Yaliyopigwa Marufuku, mifumo ya kiotomatiki huzingatia mbalimbali za ishara za kitabia ili kusaidia kutambulisha na kuweka kikomo kwa mawasiliano yasiyotakikana na kuzuia kupatwa na shughuli za uwezekano wa ulaghai.
  • Huenda tukalemaza akaunti au kuzuia ufikiaji wa bidhaa na vipengele (k.m., uwezo wa kutuma ujumbe kwa akaunti fulani) kulingana na mchanganyiko wa tabia kama vile kutuma ujumbe usiotakikana kwa watu usiowafuata, kuwasilisha visivyo eneo lako kwa kukusudia, au kuwa msimamizi wa jumuiya (k.m., Kurasa) ambazo tumeondoa kwa kukiuka sera zetu za ulaghai.
Kwa Viwango vya Jumuiya vifuatavyo, tunahitaji maelezo ya ziada na/au muktadha ili kutekeleza:
Tunaweza kuondoa maudhui ambayo:
  • Yanahusisha ulaghai au udanganyifu ambao umeripotiwa na shirika la kuaminika.
  • Huajiri watu kushiriki katika kesi kwa niaba ya kikundi kwa kutumia mbinu za udanganyifu, kama vile kuiga shirika la serikali au kituo cha habari, au kutumia madai ya kushtua au yaliyopigwa chuku.
  • Yanahusisha mashirika yanayoshiriki au kudai kushiriki kwenye tabia ya ulaghai au udanganyifu, ikiwa ni pamoja na matumizi ya akaunti kadhaa kwenye huduma zetu katika juhudi za kuendeleza tabia za udanganyifu.
Tunaruhusu maudhui ambayo yanashughulikiwa vinginevyo na sera hii yanapochapishwa katika miktadha ya kulaani, kuelimisha, kutoa uhamasisho, au kuripoti habari.
Policy Rationale
We aim to protect users and businesses from being deceived out of their money, property, or personal information. To do so, we prohibit content and behavior that employ prohibited commercial practices. This includes false job or government program offers, celebrity and brand bait, investment schemes (including guaranteed returns), debt relief and credit repair schemes, get-rich-quick and giveaway schemes, romance schemes, and charity schemes.
We allow people to raise awareness of, educate others about, and condemn scams and other prohibited commercial practices, provided they do not reveal sensitive information or promote them.
For policies related to Prohibited Documents and Financial Services, see the Restricted Goods and Services Community Standards.
Our enforcement isn’t perfect, and we may not detect all policy violations. To learn more about how to spot deceptive content and what you can do to help protect yourself, visit our Scam Protection Center.
Enforcement
We may take a range of enforcement actions, including but not limited to removing content and ads, reducing distribution, restricting advertising accounts, limiting features, requiring verification, or disabling accounts. These actions may result from our own proactive detection, or be informed by reports from trusted entities and user feedback (described below).
User Feedback
User feedback helps us identify commercial practices that create poor user experiences. We consider signals such as consistent patterns or disproportionate volumes of negative feedback, and we share relevant feedback with advertisers and sellers so they can improve their content and customer satisfaction. Where negative feedback persists despite warnings, we may take the actions above, up to restricting or disabling the responsible accounts or entities. This includes taking enforcement on practices such as:
  • Misleading or unreasonable pricing.
  • Non-delivery: failure to deliver purchased products or services after payment has been made.
  • Product misrepresentation: promoting products or services that materially differ from what was advertised, including significant discrepancies in quality or incorrect items.
  • Unauthorized charges: charging a customer’s payment method without prior authorization or clear disclosure.
  • Violation of return or refund policies: failure to honor stated refund or return policies.
  • Deceptive subscription practices: enrolling customers in recurring payment plans or subscription services without clear disclosure of terms.
  • Links that appear to lead to legitimate commercial sites but instead lead to scam sites.
We do not allow:
Content that uses deceptive tactics to mislead people or businesses for commercial or financial gain, including but not limited to:
Prohibited Loan Content
This includes:
  • Loan offers requiring the user to pay an upfront fee to obtain a loan.
  • Loan offers that guarantee approval without any mention of standard approval criteria, such as financial information from the borrower.
Prohibited Gambling Content
This includes:
  • Offers of real money gambling services (“Real money” is real-world currency that can be used to buy goods or services in the real world, including national currencies such as U.S. Dollars and virtual currencies such as Bitcoin):
    • with a guarantee of winning.
    • implying or admitting to have rigged the outcome of a game or match
    • soliciting people to enable match fixing or looking for help or tips on how to fix a match or game
    • promoting gambling services in deceptive or obfuscated ways (such as unrelated text paired with a gambling promo image/video)
  • Offers that promote services from known deceptive gambling vendors.
Social casino games that simulate gambling with no opportunity to win real money are covered by our Community Standard for Restricted Goods and Services.
Prohibited Investment Content
This includes:
  • Offers of investment opportunities where returns on investment are guaranteed or risk-free.
  • Offers of investment opportunities where returns on investment or compensation is partly or fully based on recruitment of others to participate in the scheme.
  • Offers of investment opportunities claiming or referencing successful past performance or returns to create an expectation of similar future results.
  • Offers of investment opportunities that claim quick returns (such as under 24 hours).
  • Offers to turn a certain sum of money into a larger one through flipping or trick or strategy involving explicit mentions of “cash flip,” "money flip,” or similar terminology.
Prohibited Charity Content
This includes:
  • Fraudulent requests for money or donations for charitable causes.
Prohibited Romance Content
This includes:
  • Fraudulent attempts to establish online romantic relationships by seeking non-sexual companionship or relationship and offering or asking for money or its equivalent in exchange.
Prohibited Brand or Celebrity-Bait Content
This includes:
  • Brand-bait scams, which involve falsely claiming to represent, or speak in the voice of, an established business or entity, together with misleading tactics to bait people into engaging with the content in an attempt to scam or defraud.
  • Celebrity-bait scams, which involve falsely using the name, likeness, or imagery of a public figure, together with misleading tactics to bait people into engaging with the content in an attempt to scam or defraud.
Prohibited Get Rich Quick Content
This includes:
  • Offers of opportunities of unrealistic financial reward for unclear or minimal effort.
Prohibited Tangible, Spiritual or Illuminati Content
This includes:
  • Offers tangible rewards, such as money, goods, or services that have a monetary value including physical, digital and virtual currencies, and physical or digital goods and services for membership in or joining an association, cult, religious sect (for example, the Illuminati brotherhood).
  • Offers tangible rewards for using black magic or spells or magical items (for example, spells, lucky charms, amulets, tokens, potions, magic wallet, etc.).
Prohibited Insurance Content
This includes:
  • Offers of false, heavily discounted insurance with requests for an up-front fee, such as an administration fee or deposit.
  • Offers of false, heavily discounted insurance with promises of significant savings on insurance compared to conventional insurance providers.
Prohibited Job Content
This includes:
  • Offers of jobs containing no information about the employer and job specifications, simply referencing job vacancies.
  • Offers of work from home but the job title implies the employee cannot WFH.
  • Offers of jobs with advance promises of salary.
  • Offers of guaranteed jobs.
  • Offers of jobs with a demand for an advance fee before the job is granted.
Prohibited Debt Relief and Credit Repair Content
This includes:
  • Promises to eliminate or reduce debt by a particular amount in a set period of time.
  • Promises to stop all debt collections or lawsuits.
  • Promises to remove credit information from credit reports or create new "credit identity."
Prohibited Giveaway Content
This includes:
  • False offers of a guaranteed reward of real money or consumer goods (such as electronics, vehicles, or jewelry) without any action required by the user beyond sharing personal or financial information.
  • False offers of money from government grants or programs.
Prohibited Advance Fee Content
This includes:
  • Falsely promises money in exchange for an up-front fee/wire transfer/payment.
Notwithstanding the above, we do not prohibit content that condemns, raises awareness of, or educates others about scams or other prohibited commercial practices, without either revealing sensitive information or promoting them.
In addition to removing accounts that violate our Prohibited Commercial Practices policy, our automated systems consider a range of behavioral signals to help identify and limit unwanted contact and exposure to potential scam activity.
  • We may disable accounts or restrict access to products and features (e.g. the ability to message certain accounts) based on a combination of behaviors such as sending unsolicited messages to people who you do not follow, deliberately misrepresenting your location, or being an admin of communities (e.g. Pages) we have removed for violating our scam policies.
For the following Community Standards, we require additional information and/or context to enforce:
We may remove content that:
  • Involves frauds or scams that have been reported by a trusted entity.
  • Recruits people to participate in class action lawsuits using deceptive tactics, such as impersonating a government entity or news outlet, or using sensationalist or exaggerated claims.
  • Involves entities participating in or claiming to engage in organized fraud or scam behavior, including the use of multiple accounts on our services in concert to perpetrate fraudulent behaviors.
We allow content that is otherwise covered by this policy when posted in condemnation, educational, awareness raising, or news reporting contexts.