Picha za Uchi za Watu Wazima na Shughuli ya Ngono
Maelezo ya sera
BADILISHA KUMBUKUMBU
Leo
28 Ago 2025
26 Jun 2025
14 Mei 2025
17 Sep 2024
29 Ago 2024
25 Jul 2024
1 Mei 2024
29 Feb 2024
29 Sep 2022
28 Apr 2022
23 Des 2021
24 Nov 2021
26 Ago 2021
19 Nov 2020
20 Mac 2019
15 Okt 2018
27 Jul 2018
29 Jun 2018
25 Mei 2018
Utaratibu wa Sera
Tunapiga marufuku kuonyeshwa kwa picha za uchi na shughuli ya ngono kwa sababu baadhi ya hadhira ndani ya jumuiya yetu yote wanaweza kuathirika na aina hii ya maudhui, hususan kwa sababu ya itikadi zake za kitamaduni au umri.
Tunaelewa kuwa picha za uchi zinaweza kushirikiwa kwa sababu mbalimbali, ikijumuisha aina ya maandamano, kutoa uhamasisho kuhusu sababu au kwa sababu za kielimu au kimatibabu. Inapofaa na kusudi hili limewekwa wazi, tunatoa ruhusu ya maudhui. Kwa mfano, tunapozuia baadhi ya picha za matiti ya mwanamke yanayojumuisha chuchu, tunaruhusu picha zingine zikijumuisha zile ambazo zinaonyesha vitendo vya maandamano, wanawake wanaoshiriki katika hali ya kunyonyesha, na picha za makovu ya baada ya upasuaji wa kuondoa matiti (wakati mwingine kuwekewa lebo na skrini ya onyo ya maudhui nyeti na vizuizi vinavyotegemea umri). Pia tunaruhusu sanaa ya ulimwengu halisi inayoonyesha picha ya uchi kama vile picha za michoro, michongo n.k., (wakati mwingine kwa lebo ya skrini ya onyo ya maudhui nyeti na vizuizi vinavyolingana na umri). Tunaondoa picha za ngono kwa chaguo-msingi ili kuzuia kushiriki kwa maudhui yasiyokubalika au umri mdogo.
Chini ya sera hii, tunaondoa picha na video halisi za uchi na shughuli za ngono, picha za uchi na shughuli za ngono zilizozalishwa na AI au kompyuta, na picha za kidijitali, bila kujali kama inaonekana kama "picha halisi" (yaani, inaonekana kama mtu halisi). Kama ilivyodokezwa hapo juu, pia tunaruhusu kwa uangalifu sanaa ya ulimwengu halisi na maudhui fulani ya matibabu, elimu, na ya uhamasisho na haya yamefafanuliwa kwa kina zaidi katika sera.
Maudhui yanayohusiana na uchi wa watoto yamezungumziwa katika Viwango vya Jumuiya yetu kuhusu Unyanyasaji wa Kingono wa Watoto, Dhuluma na Uchi.
Haturuhusu maudhui yafuatayo kwa watumiaji wote:
Taswira ya Uchi wa Mtu Mzima
- Picha halisi au taswira ya dijitali ya uchi wa watu wazima, ikiwa inaonyesha:
- Viungo vya uzazi vinavyoonekana (ikiwa ni pamoja na vinapofunikwa na nywele za sehemu ya siri au kuwekewa matandazo kidijitali)
- Mikundu inayoonekana na/au picha za karibu za makalio yanayoonekana
- Chuchu za kike zinazoonekana, isipokuwa katika muktadha wa kunyonyesha au kitendo cha maandamano
- Picha halisi/ video za kidijitali zinazolenga msamba, matiti ya kike au makalio zilizorekodiwa bila mtu anayeonyeshwa kwenye picha au video husoka kufahamu
- Kumbuka kwamba katika baadhi ya vizuizi, tunaweza kuruhusu taswira za uchi wa mtu mzima katika miktadha maalum ya ziada, kama vile miktadha ya matibabu au afya. Hii imeshughulikiwa kwa kina zaidi katika sehemu zilizo hapa chini.
Shughuli ya Ngono ya Mtu Mzima
- Picha halisi/ taswira dijitali ya shughuli ya ngono ya watu wazima, ikijumuisha:
- Shughuli ya ngono ya moja kwa moja au kusisimua viungo vya uzazi ili kupata ashiki ya ngono:
- Kitendo dhahiri cha kujamiiana au ngono ya kinywa, kama ilivyoonyeshwa na mdomo wa mtu au viungo vya uzazi vikiingia au vikigusana na viungo vya uzazi vya mtu mwingine au mkundu, au viungo vya uzazi vikiwekwa au kuingizwa kwenye kidude cha ngono wakati angalau kiungo cha uzazi cha mtu au mkundu unaonekana
- Msisimko wa moja kwa moja wa viungo vya uzazi au mkundu wa mtu, kama inavyoonyeshwa na msisimko, au kuingiza vifaa vya ngono kwenye viungo vya uzazi au mkundu wa mtu huyo, wakati mguso wa viungo vya uzazi au mkundu unaonekana moja kwa moja.
- Shughuli ya ngono ya kukisia au kusisimua viungo vya uzazi ili kupata ashiki ya ngono:
- Kitendo cha kujamiiana au ngono ya kinywa kwa njia isiyo wazi, kama ilivyoonyeshwa na mdomo wa mtu au viungo vya uzazi vikiingia au vikishikana na viungo vya uzazi vya mtu mwingine au mkundu, wakati viungo vya uzazi au mkundu na/au ingizo au mguso hauonekani moja kwa moja
- Msisimko usio wazi wa viungo vya uzazi au mkundu wa mtu, kama inavyoonyeshwa na msisimko, au kuweka vifaa vya ngono juu au kuingiza vifaa vya ngono kwenye viungo vya uzazi au mkundu wa mtu huyo, au viungo vya uzazi vilivyowekwa au kuingizwa katika kifaa cha ngono, wakati viungo vya uzazi au mkundu, msisimko, uwekaji, na/au uingizaji hauonekani moja kwa moja
- Shughuli inayosubiri ya kingono, kama inavyoonyeshwa na mikao ambayo inaashiriki watu wanakaribiana kwa mikono, midomo au viungo vya uzazi na viungo vya uzazi au mkundu wa mtu mwingine.
- Shughuli nyingine ya ngono au kusisimua viungo vya uzazi ili kupata ashiki ya ngono:
- Kusimama uume
- Uwepo wa bidhaa za shughuli ya ngono
- Vidude vya ngono vilivyowekwa au kuchomekwa mdomoni
- Kusisimua chuchu uchi za binadamu zinazoonekana
- Kufinya matiti ya mwanamke, inayoelezewa kama kukamata mwendo kwa vidole vilivyojikunja vinavyoonyesha alama zote mbili na umbo wazi wa mabadiliko ya matiti. Tunaruhusu kufinya katika muktadha wa kunyonyesha.
- Picha halisi/ taswira dijitali au sanaa ya ulimwengu halisi inayoonyesha tabia zisizo za kawaida za kingono ambazo zinajumuisha yafuatayo:
- Vitendo ambavyo vinaweza kusababisha kifo cha mtu au mnyama
- Kukatwa viungo
- Uhayawani
- Kinyesi, mkojo, mate, makamasi, hedhi au matapishi
- Kushiriki ngono na wanyama
- Kushiriki ngono na jamaa
- BDSM (mateka na nidhamu, utawala na unyenyekevu, kupenda ukatili na taasubi), wakati tu kuna viashiria vya kingono
- Taswira ya picha halisi ya shughuli dhahiri ya kingono au kuamsha ashiki za kingono katika muktadha wa matibabu au afya
- Sauti iliyorefushwa ya shughuli za kingono
- Kumbuka kwamba katika baadhi ya vizuizi, tunaweza kuruhusu shughuli ya ngono katika miktadha maalum, kama vile miktadha ya matibabu au afya. Hii imeshughulikiwa kwa kina zaidi katika sehemu zilizo hapa chini.
Kwa maudhui yafuatayo, tunadhibiti uwezo wa kutazama maudhui kwa watumiaji, wenye umri wa miaka 18 na zaidi na kujumuisha lebo ili watu wafahamu kuwa huenda maudhui husika ni nyeti:
- Taswira dijitali na sanaa ya ulimwengu halisi ya shughuli ya moja kwa moja ya kingono au kuamsha ashiki ya ngono katika muktadha wa matibabu au afya
- Picha halisi/ taswira dijitali na sanaa ya ulimwengu halisi ya shughuli ya moja kwa moja ya kingono au shughuli nyingine ya kingono au kuamsha ashiki ya ngono katika muktadha wa matibabu au afya
- Taswira ya picha halisi/dijitali na sanaa halisi ya sehemu za siri zinazoonekana, mikundu inayoonekana, picha za karibu za makalio yanayoonekana au chuchu za mwanamke zinazoonekana katika muktadha wa upasuaji wa kuthibitisha jinsia
- Sanaa ya ulimwengu halisi ya viungo vya uzazi vinavyoonekana (ikiwa ni pamoja na viungo vya uzazi vilivyofunikwa na matandazo ya kidijtali au kufunikwa na viungo vya uzazi vilivyofunikwa na nywele pekee), mikundu inayoonekana, picha za karibu za makalio yanayoonekana au chuchu za kike zinazoonekana, ambapo picha inalenga uchi na si muktadha wa matibabu au afya.
- Picha halisi/ taswira dijitali ya viungo vya uzazi vinavyoonekana (ikiwa ni pamoja na viungo vya uzazi vilivyofunikwa na matandazo ya dijitali au kufichwa na viungo vya uzazi vilivyofunikwa na nywele), picha za karibu za makalio yanayoonekana, mikundu inayoonekana na chuchu za kike zinazoonekana, zinaposhirikiwa katika muktadha wa kiangazi, mauaji ya halaiki, uhalifu wa kivita au uhalifu dhidi ya binadamu
Kwa maudhui yafuatayo, tunazuia uwezo wa kutazama maudhui kwa watu wazima, wa umri wa miaka 18 na zaidi:
- Picha halisi/ taswira ya kidijitali inayoonyesha kukaribia kuwa ya uchi kama vile uchi uliofichwa tu kwa tandazo la kidijitali au kipengele kisichopenyeza nuru na hali nyingine za uchi uliozuiwa kuonekana kwa nguo wazi
- Picha halisi/ taswira ya kidijitali ya watu ambapo msamba, makalio au matiti ya mwanamke ndiyo yanalengwa kwenye picha
- Picha halisi/ taswira za kidijitali na sanaa ya ulimwengu halisi ya shughuli ya moja kwa moja au ya kukisia au shughuli nyingine ya kingono au kuamsha ashiki za ngono wakati maumbo au mikunjo ya mwili pekee ndiyo inaonekana.
- Sanaa ya ulimwengu halisi, ambapo
- Taswira za kukisia, za moja kwa moja au shughuli nyingine za ngono au kuamsha ashiki ya ngono isipokuwa zinaposhirikiwa katika muktadha wa matibabu au afya
- Taswira inayoonyesha unyama, maadamu imeshirikiwa bila upendeleo au kwa kukashifu watu au wanyama walioonyeshwa si wanyama halisi.
- Taswira zinazotambulika za picha za kubuni zinazoonyesha shughuli za kukisia au nyingine za ngono au kuamsha ashiki ya ngono.
- Picha halisi/taswira dijitali na sanaa ya umlimwengu halisi inayoonyesha:
- Shughuli zinazohusiana na ngono kama vile kupiga busu kwa ulimi unaoonekana na dansi zinazoashiria ngono
- Watu wanaoamsha shughuli ya kingono
- Ishara zinazoashiria viungo vya uzazi, kupiga punyeto, ngono ya mdomo au shughuli ya ngono
- Nembo, picha za skrini au klipu za video za tovuti za ponografia zinazojulikana
- Maudhui yanayoonyesha shughuli za sauti za kingono
Kwa maudhui yafuatayo, tunajumuisha lebo ili watu wafahamu maudhui kuwa yanaweza kuwa nyeti:
- Picha halisi/ taswira dijitali na sanaa ya umlimwengu halisi inayoonyesha:
- Viungo vya uzazi vinavyoonekana (ikiwa ni pamoja na viungo vya uzazi vilivyofunikwa na matandazo ya kidijtali au kufunikwa na viungo vya uzazi vilivyofunikwa na nywele pekee), picha za karibu za makalio, au mikundu inayoonekana, zinaposhirikiwa katika muktadha wa matibabu au afya. Hii inaweza kujumuisha, kwa mfano:
- Matukio ya kuzaa na baada ya kuzaa
- Kujichunguza saratani au magonjwa mengine
- Chuchu za mwanamke zinazoonekana, zinaposhiriki katika muktadha wa matibabu au afya (ikiwa ni pamoja na upasuaji wa kuondoa matiti au chale za mwathiriwa wa saratani)
Kwa Viwango vya Jumuiya vifuatavyo, tunahitaji maelezo ya ziada na/au muktadha ili kutekeleza:
- Katika hali fulani, tutaruhusu maudhui kwa umri wa miaka 18 na zaidi kwa lebo ambayo vinginevyo yanaweza kukiuka Viwango vya Jumuiya inapobainika kwamba maudhui hayo ni ya tashtiti. Maudhui yataruhusiwa tu ikiwa vipengee vinavyokiuka vya maudhui hayo vimefanywa kama vya tashtiti au kuhusishwa na kitu au mtu ili kumdhihaki au kumsuta.
Hali ya matumizi ya mtumiaji
Tazama mifano kadhaa ya jinsi utekelezaji unavyoonekana kwa watu kwenye Facebook, kama vile: inavyoonekana kuripoti kitu ambacho unafikiri hakipaswi kuwa kwenye Facebook, kuambiwa kuwa umekiuka Viwango vyetu vya Jumuiya na kuona skrini ya onyo juu ya maudhui fulani.
Dokezo: Tunaendelea kuboresha, kwa hivyo kile unachokiona hapa kinaweza kupitwa na wakati kiasi ikilinganishwa na kile tunachotumia sasa.
HALI YA MATUMIZI YA MTUMIAJI
Kuripoti
HALI YA MATUMIZI YA MTUMIAJI
Mawasiliano ya baada ya ripoti
HALI YA MATUMIZI YA MTUMIAJI
Hali ya kuondoa
HALI YA MATUMIZI YA MTUMIAJI
Skrini za onyo
Data
Tazama Ripoti ya sasa ya Utekelezwaji wa Viwango vya Jumuiya
Utekelezaji
Tuna sera sawa ulimwenguni kote, kwa ajili ya kila mtu kwenye Facebook.
Timu za ukaguzi
Timu yetu ya kimataifa ya wakaguzi zaidi ya 15,000 hufanya kazi kila siku kuweka watu kwenye Facebook kuwa salama.
Ushiriki wa mshikadau
Wataalamu wa nje, wasomi, mashirika yasiyo ya faida na watungaji sera husaidia kuweka Viwango vya Jumuiya ya Facebook.
Pata usaidizi wa uchi za watu wazima na shughuli za ngono
Jifunze unachoweza kufanya ukiona kitu kwenye Facebook ambacho kinakiuka Viwango vyetu vya Jumuiya.
Tembelea Kituo chetu cha Usaidizi